Nafasi Ya Matangazo

May 24, 2011

 Ilikuwa ni siku ya furaha kwa Bwana Lameck Mussa na Bi harusi Gloria Shirima baada ya kufunga ndo yao takatifu katika kanisa la Christ The King Tabata Dar es Salaam na kufuatiwa na tafrija kubwa katika ukumbi wa GBF Tabata Sigara wiki iliyopita. Bwana harusi ni Mfanyakaazi wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC). Pichani ni maharusi wakionesha shada zao za ndo.
 Ndugu jamaa na marafiki waliohudhuria ndoa hiyo...
 zilifungwa ndoa tano siku hiyo
 Wazazi upande wa bwana Harusi mama yake Lameck (kushoto) na mama mdogo.
 Wazazi wa bi Harusi katika picha na maharusi.
 Wapambaji wa maharusi nao walipata snap moja ....
 Maharusi na wasimamizi wao katika picha ya pamoja.
 Bi. Gloria akijimwaga na vazi lake...
 Pale GBF Tabataba maharusi waliwapokea wageni...
Wageni mbalimbali ukumbini...
 misosi ya kupika ilikuwa haina nafasi katika tafrija hii ni vitu vyua kuchoma na kuoka tu...
 maharusi na wapambe wakila....
 Vinjywaji ndo usiseme....
 Maharusi wakikata keki...
 Wafanyakzi wa TCC wakipokea sehemu ya keki hiyo.
 Kamati nayo ilipata sehemu yao ya shukrani ...Unguu na mbwembwe zake aliongoza.
 Kikosi cha The M Band kilitoa burudani katika tafrija hiyo.
Wageni walifurahi vya kutosha ki burudani, misosi na vinywaji.
Posted by MROKI On Tuesday, May 24, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo