Nafasi Ya Matangazo

May 24, 2011

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha mke wa kwanza wa Balozi George Kahama, Mama Maria Kahama, aliyefariki dunia Mei 19, 2011 na kuzikwa juzi katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na watoto wa Marehemu Mama Maria Kahama, aliyekuwa mke wa kwanza wa Balozi George Kahama, wakati alipofika kutia saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu ADA Estate Kinondoni Dar es Salaam leo Mei 24.
Posted by MROKI On Tuesday, May 24, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo