Nafasi Ya Matangazo

May 15, 2011

 Mkuu wa Mawasiliano ya Jamii wa Benki ya Barclays Tanzania, Bi. Moni Msemo akipanda mti ikiwa ni mwendelezo wa mradi endelevu wa kupanda miti kwa ajili ya uchomaji wa mkaa unaoendeshwa na Shirika la Kimataifa la Hifadhi ya Mazingira (WWF) kampuni ya CAMCO Advisory na Benki ya Barclays. Kushoto ni Meneja Mradi kutoka WWF, Isaac Malugu na Katibu Tawala wa Wilaya ya Rufiji, Benjamin Mwombeki. Hafla hiyo ilifanyika katika kijiji cha Nyambili, Kibiti, Pwani mwishoni mwa wiki.
Ofisa wa Benki ya Barclays Tanzania, Bw. Darlington Sibanda akipanda mti ikiwa ni mwendelezo wa mradi endelevu wa kupanda miti kwa ajili ya uchomaji wa mkaa unaoendeshwa na Shirika la Kimataifa la Hifadhi ya Mazingira (WWF) kampuni ya CAMCO Advisory na Benki ya Barclays. Kushoto Mkuu wa Mawasiliano ya Jamii wa Benki ya Barclays Tanzania, Bi. Moni Msemo na Meneja Mradi kutoka WWF, Isaac Malugu.
Posted by MROKI On Sunday, May 15, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo