Nafasi Ya Matangazo

February 17, 2011

MPENDWA BABA YETU GEOFFREY M NKURLU, ILIKUWA SIKU, MWEZI NA HATIMAYE LEO TAREHE 17/2/2011 UMETIMIZA MIAKA 10 TOKA UTUTOKE KATIKA DUNIA HII.TUNAFARIJIKA KWASABABU TUNA AMANI UKO PAMOJA NASI KIROHO SIKU ZOTE.

BABA HAKUNA SIKU IPITAYO KWETU BILA KUKUMBUKA KWA UPENDO NA UKARIMU WAKO,USHAURI MWEMA, MISIMAMO BORA NA BUSARA ZAKO KATIKA KUTULEA NA KUTUUNGANISHA SISI WANAO NA FAMILIA PAMOJA,BUSARA ZAKO ZIMEKUWA DIRA NA NURU KATIKA MAISHA YETU.TUNAENDELEA KUKUOMBEA NA TUNAENDELEZA YALIYO MEMA KWA WAJUKUU ZAKO UPUMZIKE KWA AMANI.

DAIMA UNAKUMBUKWA NA WATOTO WAKO: MASALA,MATINA,NZIGIA,AMANI,ANGAZA,ATUZA.WAJUKUU ZAKO AMANI,VANESA/SALOME,NGULLA,KAKA YAKO EPHRAIM NA DADA YAKO EVA NA WADOGO ZAKO WOTE,NDUGU JAMAA NA MARAFIKI PAMOJA NA WAUMINI WENZAKO.DAIMA TUTAKUKUMBUKA MILELE.

BABA TULIKUPENDA SANA, LAKINI MUNGU BABA WA MBINGUNI ALIKUPENDA ZAIDI.BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE:

Posted by MROKI On Thursday, February 17, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo