Nafasi Ya Matangazo

February 09, 2011

 Baadhi ya Wabunge wakielekea ndani ya Ukumbi wa Bunge leo mjini Dodoma wakiwamo wabunge wa Upinzani waliosusia jana baadhi ya majadiliano ya Bunge.
 Mbunge wa Singida mjini Mohmmed Dewji (L) na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe katika viwanja vya Bunge leo Dodoma
 Mbunge wa Wawi Hamad Rashud Mohamed (L) na Mbunge wa Manyoni Mashariki John Chiligati
 wanafunzi kutoka shule ya Independent DSM wakisikilza bndani ya Bunge leo Dodoma.
 Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja akuiwa na wanafunzi wa Independent School kutoka Dar es Salaam leo katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Pfof. Mark Mwandosya(kushoto) na Mbunge wa Pangani Saleh Pamba leo Bungeni.
Posted by MROKI On Wednesday, February 09, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo