Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasalimia baadhi ya watoto waliomlaki muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa songea ambapo alikuwa mgeni rasmi katika maadhimnisho ya sherehe ya siku ya mwalimu duniani.
Baadhi ya waalimu waliohudhuria maadhimisho ya siku ya mwalimu duniani wakiingia kwa maandamano katika uwanja wa michezo wa Majimaji mjini Songea ambapo Rais Dr.Jakaya Mrisho kikwete alikuwa mgeni rasmi na kuwahutubia.

Baadhi ya waalimu waliohudhuria sherehe za siku ya mwalimu duniani wakimsikiliza Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete alipowahutubia katika uwanja wa michezo wa Majimaji mjini Songea.Rais Dr.Kikwete alikuwa mgeni ramsi katika maadhimisho hayo kwa mwaliko wa Chama cha Waalimu Tanzania






0 comments:
Post a Comment