Nafasi Ya Matangazo

October 05, 2010

 Leo watu wa Ilala nipo mitaa ya Karume
 Soko letu jipya la Machinga ndo kama hili
 Hapa nawaonesha uwanmja wa Karume na mbaali Mwalimu House
 Mitaa ya kati hapa kama unatokea TRA hapa Shaurimoyo.
Waliosoma hapa Alharamain wataikumbuka hili jengo. 
 Mambo flani ya maji ya Ilala hapa Mchikichini kiwanda cha TBL
Mtaa wa Suwata huo hadi Karikoo
Hapa kati ni Shule ya Uhuru Mchanganyiko na nyuma ni magorofa ya NHC TBL.
Nafikiri waliotoka mitaa hiyo wameona kidogo maendeleo na mandhari ya mji wao.
Posted by MROKI On Tuesday, October 05, 2010 2 comments

2 comments:

  1. Thank you very much bro.
    Asante sana Father!
    Udumu zaidi na zaidi!

    ReplyDelete
  2. kwanza nakushukuru kwa kuweka hizi picha zinanikumbusha mbali nilikuwa napita huku nasikiliza khadija Kopa au muchana wakati huo. I love Afrika, and everyhing about us!!!!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo