Nafasi Ya Matangazo

October 05, 2010

 Hapa ndipo ilipo ofisi za MD Digital Copany wataalam wa picha za matukio mbalimbali ya Mikutano, Semina, Michezo, Passport size na vitambulisho, Harusi, Send Off, Kitchen Party , nk, pia ni wazoefu wa picha za Habari.Ofisi za Bloggu  hii ya jamii pia zipo humu ndani. Tuletee habari yako tuirushe.
 Mkurugenzi Mwenza Father Kidevu au Mroki Mroki akiwakaribisha katika ofisi hizo kwa huduma mbalimbali hadi za Secretarial.
Mroki Mroki akionesha moja ya kazi nzuri zinazofanywa na MD Digital Company. Ofisi hizi zipo Ukonga Mombasa Mtaa wa Mazizini-Iliposhule ya BAT VALLEY au zamani APOINTMENT BAR.

Wasiliana nao +255373999/0717002303.
Kazi yako ya Picha ni Jukumu letu sisi fika au wasilina nasi gharama zetu ni nafuu kuliko huduma itolewayo.
Posted by MROKI On Tuesday, October 05, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo