Wakati shule za Msingi wanafunzi wamaliza shule Matangaza haya yameanza kushika kasi mtaani.
Katika msafara wa Mamba Kenge nao wapo kama Jahazi hapo.
Lakini mengine hayasomeki kwa jinsi yalivyo chanika
Yahapendezeshi tena mji bali ni uchafu sasa
Matangazo haya yapo katika uziop wa uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam, ukipita tu kituo cha Mafuta cha BP kama unaelekea Uwanja wa zamani Terminal I au Ukonga.




0 comments:
Post a Comment