Nafasi Ya Matangazo

July 03, 2010

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Simu ya Sasatel Tanzania, Derick Byarugaba akiwa ameshikilia kikombe cha ushindi wa Kampuni Bora ya Simu katika Maonesho ya 34 ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam ambayo yanaendelea katika Viwanja vya Mwalimu JK Nyerere barabara ya Kilwa Dar es Salaam. Sasatel wamewabwaga TTCL, Tigo na Zantel na Zain ambao wapo katika maonesho hayo. Wafanyakazi wakishangilia kombe hilo baada ya kufika katika banda lao jana muda mfupi aada ya kukabidhiwa na Katibu Mkuu wa Jumuia ya Afrika Mashariki, Balozi Juma Mwapachu wakati wa ufunguzi.
Nifuraha kwa kila mfanyakazi wa Sasatel.
Ilikuwa faraja hata kulishika kutokana na furha hiyo ya ushindi.
Posted by MROKI On Saturday, July 03, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo