Biashara ya kuuza vitu mitani ama kwa kutembeza au kupanga kando kando ya barabra na mitaa mjini Moshi imekuwa ikifanywa zaidi na Wanawake tofauti na mazoea ya watu walio wengi kutembeza vitu ni kazi ya wanawake hasa nguo, viatu na mapambo ya aina mbalimbali. Mjini Moshi hili halipo na wanawake wa Kichaga ambao wanasifika kwa utafutaji ridhiki wamekuwa mstari wa mbele katika kuwasaidia waume zao kufnya biasshara.Wanawake kama hawa wakiwezeshwa wanweza kikamilifu sio wale wanao ngoja kupewa kitu ndio waanze. Jambo hili ni lakuigwa na akina mama nchini kote kwani halimfanyi mwanamke akawa ni mtu wa kuomba msaada tu bali nae anakuwa ni mtafutaji.
Akina baba wachache nao unaweza kuwakuta katika biashara kama huyu lakini ni wachache mjini Moshi tofauti na Dar es Salaam ambako wanawake huuza ndizi, machungwa na mihogo mibichi mtaani na umachinga ni kwa wanaume tu.
0 comments:
Post a Comment