Ilikuwa ni siku ya Furaha sana kati ya Jacob Karugabwa na Bi Janeth Kasaba wakati walipoamua kufunga pingu za maisha na kuishi maisha ya mke na mume. Pichani ni katika moja ya mapozi yao baada ya kufunmga ndoa yao takatifu jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Jacob akianguka saini ya kuishi pamoja na Janeth mbele ya Kasisi Hapa wakipeana password za maisha yao na mahala walipo hifadhi nyaraka zao za upenndo. Nifuraha ilioje kwa Janeth Pozi lingine la ukumbini Jacob na Mkewe Janeth. Asiye na asili ni mtumwa hapa kitu cha maskani kilipigwa na wote walijuuika. Mambo toka Bukoba hayopo. Mpango mzima wa sherehe ndo huu watu waligonga menu.
Digito Photos by: MD Digital Company 0755 373 999 0717 002303 mrokim@gmail.com Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment