Nafasi Ya Matangazo

July 09, 2010

Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa wakipitia kanuni za Uongozi na Maadili ya Chama cha Mapinduzi CCM kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu kilichokutana leo katika ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM Mjini Dodoma. Kulia Mhe. Mohamed Seif Hatib, Mhe. Omar Yussuf Mzee na Mhe. Maua Daftari.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa kushoto Mhe. Haji Omar Heri, kulia Mhe. Mohamed Seif Hatib, katikati Mhe. Omar Yussuf Mzee na Mhe. Maua Daftari, wakijadiliana jambo ndani ya ukumbi wa Halmashauri Kuu ya CCM mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichokutana leo kwa ajili ya kupitia majina ya wagombea urais wa Zanzibar.
Posted by MROKI On Friday, July 09, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo