Wewe Kidevu sijui Kidevu hebu rekebisha kichwa chako cha habari. Dr. Bilal ameteuliwa kuwa mgombea mwenza sio makamu wa raisi. Mpaka sasa makamu wa raisi ni DR. Shein ambaye tena sio raisi wa Zanzibar ila mgombea mteule wa uraisi Zanzibar. Hivi nyie waandishi wa CCM mnaenda shule gani ya uandishi? Hebu rekebisha haraka.

ReplyDelete