

Mkurugenzi Mkuu wa Sasatel Christian Heagar akiongea na wafanyakazi wa kampuni yake wakati wa sherehe ya kampuni kutimiza mwaka mmoja iliyofanyika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo zilizopo Masaki Jijini.

Wafanyakazi wa kampuni ya Sasatel wakisikiliza ripoti ya utendaji wa kazi wao wakati wa sherehe ya kampuni kutimiza mwaka mmoja iliyofanyika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo zilizopo Masaki Jijini

Mkurugenzi wa Masoko wa Sasatel Deick Byarugaba akiongea na wafanyakazi wa kampuni yake juu ya mikakati ya kupanua masoko wakati wa sherehe ya kampuni kutimiza mwaka mmoja iliyofanyika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo zilizopo Masaki Jijini
mzee wa kilaji derick
ReplyDelete