Nafasi Ya Matangazo

June 07, 2010

Mkurugenzi Mkuu wa Sasatel Christian Heagar akiongea na wafanyakazi wa kampuni yake wakati wa sherehe ya kampuni kutimiza mwaka mmoja iliyofanyika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo zilizopo Masaki Jijini. Wafanyakazi wa kampuni ya Sasatel wakisikiliza ripoti ya utendaji wa kazi wao wakati wa sherehe ya kampuni kutimiza mwaka mmoja iliyofanyika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo zilizopo Masaki Jijini
Mkurugenzi wa Masoko wa Sasatel Deick Byarugaba akiongea na wafanyakazi wa kampuni yake juu ya mikakati ya kupanua masoko wakati wa sherehe ya kampuni kutimiza mwaka mmoja iliyofanyika ofisi za makao makuu ya kampuni hiyo zilizopo Masaki Jijini
Posted by MROKI On Monday, June 07, 2010 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo