
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo Mama Salma Kikwete akipokea shada la maua kutoka kwa binti Michelle Muhoka, 5, wakati alipowasiri kwenye uwanja wa ndege wa Ronald Reagan huko Washington DC, nchini Marekani, kuhudhuria mkutano wa siku tatu wa "Women Deliver" unaoanza tarehe 7 hadi 9 Juni, 2010.

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Ndugu Ombeni Sefue akitoa taarifa fupi kwa mke wa Rais Mama Salma Kikwete kuhusiana na mkutano wa 'Women Deliver" unaotarajiwa kufanyika huko Washington kuanzia tarehe 7 hadi 9 mwezi, 2010.
0 comments:
Post a Comment