Mwanablogu Imani Hamza Kondo ambaye anafahamika zaidi katia tasnia hii ya Magazeti tando kama zemarcopolo, ametia nia ya kugombea Ubunge wa Morogoro Kusini Mashariki kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.Yeyote atakayehitaji taarifa zaidi basi asisite kuwasiliana nae moja kwa moja kwa zemarcpolo@yahoo.co.uk Nashukuru Sana.




0 comments:
Post a Comment