Nafasi Ya Matangazo

June 04, 2010

Mshauri wa Mawasiliano wa nbc, Robi Matiko (kulia) akipata maelekezo kuhusu hatua mbalimbali za utengenezaji viatu vya ngozi kutoka kwa Katibu wa kikundi cha watu wenye ulemavu cha The Disabled Handcrafters Development Group, Isaya Zivi baada ya kukabidhi msaada wa ngozi hizo na vifaa vingine vya kutengenezea viatu vyenye thamani ya shs milioni 3 kutoka NBC katika ofisi za kikundi hicho, Vingunguti, Dar es Salaam jana. Katikati ni mmoja waq wajumbe wa kikundi hicho, Patrick Nkana na msaidizi wa Robi, Rachel Msola.
Posted by MROKI On Friday, June 04, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo