Nafasi Ya Matangazo

June 04, 2010

Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe (wa pili kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Oliver Mhaiki (wa tatu kushoto), Katibu Msaidizi wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara hiyo Rose Lugendo (kulia) na Simon Msuya, Katibu Mkuu Msaidizi wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (TUGHE) wakiimba wimbo wa mshikamano kabla ya kuanza kwa mkutano wa baraza kla Wafanyakzi mjini Morogoro leo (Alhamisi, Juni 3, 2010). Picha na Omega Ngole wa Wizara ya Sheria.
Hamisi Mdee kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akitoa mada kuhusu mfuko huo kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Katiba na Sheria leo (Alhamisi, Juni 3, 2010) mjini Morogoro. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Oliver Mhaiki an Katibu Msaidizi wa Baraza hilo Bi. Rose Lugendo.
Dr. Frank Lekei kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) akitoa mada kuhusu mfuko huo kwa wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Wizara ya Katiba na Sheria leo (Alhamisi, Juni 3, 2010) mjini Morogoro. Kulia kwake ni Afisa mwingine wa NHIF Bw. Hamisi Mdee na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw. Oliver Mhaiki.
Afisa Elimu ya Kazi Mwandamizi kutoka Wizara ya Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana Sebastian Inoshi akitoa mada leo (Alhamisi, Juni 3, 2010). kuhusu Majukumu na Umuhimu wa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi kwa wafanyakazi wa Wizira wa Katiba na Sheria wanaohudhuria mkutano wa baraza hilo mjini Mororgoro.
Posted by MROKI On Friday, June 04, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo