Meneja wa Bia ya Ndovu Oscar Shelukindo (wa nyuma kushoto)na Mpishi Mkuu wa TBL Mzee Gaudence Mkolwe (kulia)wakiwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere leo mchana wakitokea jijini Wiesbaden nchini Ujerumeni ambako walikabidhiwa tuzo kubwa ya dhahabu ya kinywaji cha Ndovu ijulikanayo kama Grand Gold Award.Picha zote na Mdau Victor Makinda
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Mart, Oscar Shelukindo(wa mbele) na mpishi mkuu wa TBL Mzee Mkolwe (wa nyuma)wakiingia katika Viwanja vya TBL wakiwa wameshika tuzo na cheti cha ubora wa Kimataifa. Bia ya Ndovu imepata tuzo ya medali ya Dhahabu ya ubora ya Kimataifa.
Burudani ilitolewa wakati wa mapokezi ya tuzo hizo.
Msafara wa MagaRi ya TBL ukiwa unatoka katika uwanja wa ndege Mwalimu Nyerere.
Meneja wa Bia ya Ndovu akilonga jambo na wafanyakazi wa TBL na Waandishi wa Habari jioni hii katika viwanja vya TBL muda mfupi mara baada ya kuwasili toka nchini Ujerumani.Pembeni ni Walimbwende waliopamba mapokezi hayo.

Meneja wa Ndovu Special Malt Oscar Shelukindo na mpishi mkuu wa TBL Gaudence Mkolwe wakiwasili hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo kwenye mnuso ulioandaliwa kusherehekea tuzo ya Grand Gold iliyopata Ujerumani.

0 comments:
Post a Comment