Nafasi Ya Matangazo

June 25, 2010

Muuguzi mwandamizi katika banda la NHIF akiwapima msukumo wa damu (BP)wananchi na wanachama wakati wa maadhimisho ya wiki ya afya yanayoendele katika viwanja vya Nyerere square mjini Dodoma.
Timu ya wataalamu wa mMuko wa Taifa wa Bima ya Afya ikiwajibika kwa kuwapima afya wananchi na wanachama wa mfuko waliotembelea banda lao katika maonesho ya wiki ya afya yanayoendelea katika viwanja vya nyerere square mjini Dodoma.
Mwananchi akifuatilia kwa makini majibu ya kipimo cha uwiano wa uzito na urefu (BMI) kutoka kwa afisa wa NHIF Bi Rachael malimi wakati wa uhamasishaji wa upimaji afya na elimu kwa umma juu ya maboresho na faida ya kujiunga na mifuko ya afya ya jamii na NHIF kwenye maonesho ya wiki ya afya katika viwanja vya nyerere square mjini Dodoma.
DR. Matta akichukua taarifa muhimu kutoka kwa mwanachi aliyefika kwenye banda la mfuko wa taifa wa bima ya afya hili aweze kupatiwa kipimo cha BMI na elimu kwa ujumla.

Posted by MROKI On Friday, June 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo