Nafasi Ya Matangazo

June 25, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pmoja na Viongozi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma baada ya kufungua kongamano la siku tatula Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma kwenye ukumbi wa African Dream Mjini Dodoma Juni 25, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na baaddhi ya washiriki wa Kongamano la Siku tatu la Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Dodoma alilolifungua kwenye ukumbi wa African Deram Mjini Dodoma Juni 25, 2010. Kulia ni Mmoja wa wawezeshaji wa maandalizi ya ongamano hilo, Mhe. Anna Abdallah.
Posted by MROKI On Friday, June 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo