Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Amani Abeid Karume, akipewa maelezo na Afisa msaidizi wa Tume ya Uchaguzi Wilaya ya Magharibi,Maalim Khamis Mussa,(wapili kulia) mara baada ya kukabidhiwa shahada ya kuandikishwa kuwa mpiga kura, katika kituo cha Skuli ya msingi ya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi Unguja leo, (kulia) ni Afisa mwandikishaji kura za maoni wilaya ya magharibi Unguja,Ali Radhid Suluhu.
0 comments:
Post a Comment