Nafasi Ya Matangazo

June 28, 2010

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akizindua rasmi basi la abiria lililonunuliwa na kikundi cha VICOBA cha Debora huko Tabata baada ya uzinduzi rasmi wa kikundi hicho tarehe 26.6.2010. Wengine katika picha ni Mweyekiti wa Debora VICOBA Bibi Margareth Shauri (kushoto), mkuu wa wilaya ya Ilala ndugu Leonidas Gama na mwishoni kulia ni Bwana Mehboob Jaffer kwa niaba ya Africarriers ya jijini Dar es Salaam.
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo,(WAMA),Mama Salma Kikwete akipokea tuzo maalum kutoka Mwenyekiti wa Debora Vicoba, Bibi Margareth Shauri mara tu baada ya kuzindua rasmi kikundi hicho kilichoko Tabata katika wilaya ya Ilala tarehe 26.6.2010.
Posted by MROKI On Monday, June 28, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo