Jukwaa la Wahariri Tanzania (Tanzania Editors Forum - TEF) linakusanyika jioni hii kwenye Hoteli ya Kiromo, Bagamoyo kwa ajili ya mkutano mkuu wa mwaka ambao pia utawachagua viongozi wapya wa jukwaa.
Mkutano huu utafanyika Jumamosi kuanzia saa 2 asubuhi hadi saa 11 jioni. Hili ni tukio la kwanza kwa jukwaa hilo kwani tangu kuanzishwa kwake halikuwahi kuwa na mkutano wa aina hiyo.
Mkutano huo unaweza kuwa chachu na fursa ya pekee ya KUJISAHIHISHA kwa yale ambayo yamekuwa yakifanywa kinyume cha taaluma lakini pia kuyafanyia kazi maoni ambayo yamekuwa yakitolewa na 'hadhira' kuhusu kazi ya Jukwaa.
Taarifa hii ni kwa mujibu wa
Neville C. Meena,
Ag. Secretary General,Tanzania Editors' Forum (TEF),
Dar es Salaam -Tanzania.
Cell(s) +255 -715 - 339090
+255 -787 - 675555
0 comments:
Post a Comment