Nafasi Ya Matangazo

May 07, 2010

Naibu Waziri waHabari, Utamaduni na Michezo, Joel Bendera akizungumza wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi wa Ligi Kuu ya Vodacom.
Rais wa Yanga Immani Madega akiondoka na hundi yake ya
Msindi wa pili.
Naibu Waziri waHabari, Utamaduni na Michezo, Joel Bendera (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi Makamu Mwenyekiti wa Mabingwa wa Soka Tanzania Omar Gumbo. Katikati ni
Meneja Masoko wa Vodacom Ephraim Mafuru.
Picha ya pamoja ya Vilabu vilivyozawadiwa.
Jeshi Zakaria wa Afrika Lyon akionesha kombe la Timu iliyoonesha nidhamu ligi kuu. Shukrani kutoka kwa mwakilishi wa vilabu, Mwenyekiti wa Timu ya Azam FCSaid Muhamed Abeid.
Baadhi ya wageni kutoka Vodacom Muda muafaka uliwadia na meza kuu iliongoza watu kugonga menu.

Posted by MROKI On Friday, May 07, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo