

Baadhi ya walimbwende wanao wania taji la Miss Sinza 2010 wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao iliyopo ukumbi wa Vatcan Sinza jana. Warembo hao wanatari kupanda jukwani Mei 29 mwaka huu katikla ukumbi huo kuwania taji hilo.
Posted by MROKI
On Friday, May 28, 2010
1 comment
Kaka safi. Lakini usitusahau tu watakapokwenda UFUKWENI pliiizzzz
ReplyDelete