Nafasi Ya Matangazo

May 25, 2010

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) Jaji Fredrick Werema akikabidhiwa ripoti mbalimbali zilizofanyiwa kazi na Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (LRCT) na Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Japhet Sagasii wakati alipoitembelea tume hiyo leo, wengine ni Naibu Katibu Mtendaji (Utafiti) Adam Mambi (wa pili kulia ) na Naibu Katibu Mtendaji (Mapitio) Angela Bahati .Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Fredrick Werema akiongea na wanasheria wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania wakati alipofanya ziara yake ya kwanza katika tume hiyo leo katika ofisi za tume jijini Dar es Salaam.
Posted by MROKI On Tuesday, May 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo