Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Manyinga ya
Mvomero, Morogoro, Jackline Eliabi kuhusu utumiaji wa taka katika kutengeneza
bidhaa mbadala, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani
yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete mkoani Dodoma, leo
tarehe 05 Juni 2026.

tarehe 05 Juni 2026.Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi
akisikiliza maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Dumila Juu ya
mkoani Morogoro, Alhad Yusuph kuhusu matumizi ya michezo katika kuhamasisha
utunzaji mazingira, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani
yaliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete mkoani Dodoma, leo
tarehe 05 Juni 2026.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi
akitembelea na kukagua mabanda mbalimbali ya maonesho kuhusu shughuli za
uhifadhi mazingira, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani yanayofanyika
katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete mkoani Dodoma, leo tarehe 05 Juni
2026.

akiwa na viongozi mbalimbali wakiwa katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete
wakishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani tarehe 05 Juni 2026.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi
akiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete Mkoani Dodoma kushiriki
Maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani, leo tarehe 05 Juni 2026.

0 comments:
Post a Comment