Nafasi Ya Matangazo

May 28, 2010

Baadhi ya walimbwende wanao wania taji la Miss Sinza 2010 wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao iliyopo ukumbi wa Vatcan Sinza jana. Warembo hao wanatari kupanda jukwani Mei 29 mwaka huu katikla ukumbi huo kuwania taji hilo.
Posted by MROKI On Friday, May 28, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Kaka safi. Lakini usitusahau tu watakapokwenda UFUKWENI pliiizzzz

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo