Baadhi ya Washiriki wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Ruth Mollel }Pichani hayupo} wakati wa Ufunguzi wa Baraza Kwenye Ukumbi wa PPF Tower jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi Ruth Mollel akifunguwa mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais uliofanyika kwenye Ukumbi wa PPF Two Kulia Mkurugenzi Utawala Bw Raymond Moshy na Kushoto ni Esther Makwaia Ofisa Mazingira Mkuu.
0 comments:
Post a Comment