Rais wa Visiwa vya Comoro, Ahmed Abdallah Mohamed Sambi amemtunukia Mroki Mroki cheti cha Utambuzi mchango wake na Ujasiri kwa kujitoa na kwenda Mstari wa mbele kushiriki katika vita ya kukikomboa Kisiwa cha Anjouan kilichokuwa kikaliwa kwa mabavu na Mohamed Baker mwaka 2008.
Cheti kama hiki pamoja na Nishani ya Anjouan pia viliwahi kutolewa na Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania.
Hapa ni wakati wa Opareshini Demokrasia Comoro.
Posted by MROKI
On Wednesday, May 19, 2010
1 comment
Hongera Mkuu!
ReplyDelete