Nafasi Ya Matangazo

May 20, 2010

Mwenyekiti wa CCM Taifa ,Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwaongoza wanachama wapya wa CCM kutoka katika vyuo mbalimbali Mkoani Iringa kula kiapo cha utaii kwa chama Cha mapinduzi muda mfupi kabla ya kuwahutubia viongozi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana katika eneo la Ihemi nje kidogo ya mji wa Iringa.Kushoto ni Makamu Mwenyekiti UVCCM Beno Malisa na kulia nia
Katibu Mkuu wa UVCCM Bwana Shigela. Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya viongozi wa UVCCM wanohudhuria mafunzo mafupi ya uongozi huko eneo la Ihemi, nje kidogo ya mji wa Iringa.
Posted by MROKI On Thursday, May 20, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo