Mshambuliaji wa timu ya mkoa ya Kagera, ‘Lweru Warriors’, Shija Mkina (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa timu ya mkoa wa Mwanz, Mwanza Heroes, Ladslaus Mbogo wakati wa michuano ya Kombe la Taifa la Kilimanjaro, Kanda ya Ziwa inayoendelea katika uwanja wa CCM Kirumba leo. Mwanza ilishinda kwa magoli 3-1.
MATOKEO YA MICHEZO YA KILI TAIFA CUP 2010
Shinyanga 1 Tabora 1
Mwanza 3 Kagera 1.
Tanga 0 Temeke 0.
Iringa 1 Mbeya 0
Arusha 2 Mara 1
Singida 1 Kigoma 0
Ilala-2 Lindi- 1
Ruvuma 2 Mtwara 1Godfrey Bonny wa Iringa (kushoto) akichuana na Mwagane Yeya wa Mbeya timu hizo zilipomenyana leo katika uwanja wa Samora mjini Iringa,mechi ya makundi Kili Cup. Iringa ilishinda kwabao 1-0.

0 comments:
Post a Comment