Leo ni Tarehe ya kuzaliwa Dada TANIA RAJAB wa Munik Ujerumani.
Blogu hii inaunganana na Familia yake, ndugu jamaa na marafiki wote kumtakia siku njema iliyo na furaha, amani na upendo.
Mungu amjalie hekima na busara katika siku za maisha yake.
HAPPY BITHDAY TANIA!!!!!!
0 comments:
Post a Comment