Nafasi Ya Matangazo

May 10, 2010

maji yanaraha yake...vijana wake kwa waume wakistarehe baharini.
Vijana wakodisha mipira ya kuogelea wakijadili jamabo.
Nikama wapo miami vile...
Wanao chumpa pia wapo...
Ni raha tu...msingoje siku kuu ndo muende bichi, mjijengee mazoea ya kwwenda kuogelea siku za kawaida kama hawa walivyofanya.

Posted by MROKI On Monday, May 10, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo