Tangazo hili linamhusu nani? Tngazo la Ilani juu ya ujenzi unaoendelea katika moja ya jengo lililopo kando kando ya Barabara ya Uhuru Kariakoo Dar es Salaam. Awali Serikali ya Mkoa iliwahi kupiga marufuku matumizi ya jengo ambalo halijakamilika ujenzi wake kwa hofu ya kusababisha ajali.
0 comments:
Post a Comment