Nafasi Ya Matangazo

May 06, 2010

Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Kaya ya Ulongoni iliyopo Gongolamboto Dar es Salaam wakivuka katika daraja la magogo ya mnazi linalounganisha Vijiji/mtaa wa Ulongoni, Msimbazi na Gogo la Mboto. Daraja hili linahitaji kufanyiwa maboresho maana klinatumiwa na wakazi wengi hasa wanafunzi ambao wakati huu wa mvua hupata tabu.
Mama na watoto wake wakivuka katika daraja hilo.
Posted by MROKI On Thursday, May 06, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo