JAMOS ENTERTAINMENT GROUP
INAWALETEA
Warembo wanao wania taji la Miss Kilombero 2010 wakiwa katika picha ya pamoja leo kabla ya kupanda Jukwaani Mei 8, 2010 katika Ukumkbi wa Jamos Social Hall ,washindi wa shindano hili wataingia kambini Mei 22 kutafuta mrembo wa Mkoa wa Morogoro.
0 comments:
Post a Comment