Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Celina Kombani akiwa katika picha ya pamoja na wanawake kutoka Igunga , Tabora kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 23, 2010. Wanawake hao walialikwa na Mbunge wa Viti Maalum, Aziza Sleyum Ally (kulia kwa Waziri ) na kushoto ni Mbunge wa Sikonge, Said Juma Nkumba.
April 23, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment