Nafasi Ya Matangazo

April 24, 2010

Miss Universe 2010 Hellen Dausen 23 kutoka Mkoani Arusha akipunga mkono baada ya kutawazwa Malkia wa taji hilo nchini usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City Dar es Salaam.
Warembo wakicheza Show ya ufunguzi iliyoongozwa na Nakaaya Sumari.
Hellen alipopanda kwa mara ya kwanza jukwaani.

Picha zilipigwa na kila mtu wakati burudani ya Mama Afrika ikitolewa.
Wapenzi wa fani ya urembo wakiwa ukumbini. Wadau May (kushoto) na mwenzake wakiwa ukumbini wakipiga picha za hapa na pale za ukumbusho.
Posted by MROKI On Saturday, April 24, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo