Nafasi Ya Matangazo

April 18, 2010

Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Queen Mwashinga, (kushoto) akipokea kompyuta kutoka kwa Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yesaya Mwakifulefule (katikati) , Mfuko huo ulitoa Kompyuta 10 kwa shule ya Msingi Bukindo iliyoko wilayani humo ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuendeleza elimu hapa nchini, kulia ni Mwalimu Mkuu wa Shule hiyo Charles Zege.
Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yesaya Mwakifulefule, akitoa maelezo ya umuhimu wa matumizi ya kompyuta kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Ngudu iliyoko Mkoani Mwanza, Mfuko huo ulitoa Kompyuta 10 kwa shule hiyo zilizounganishwa na Mtandao wa Intaneti ikiwa ni sehemu ya mpango wa Mfuko huo ya kuendeleza elimu hapa nchini.

Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe, Queen Mwashinga, (kushoto) akipokea kompyuta kutoka kwa Meneja wa Mfuko wa Vodacom, Yesaya Mwakifulefule, Mfuko huo ulitoa Kompyuta 10 kwa shule ya Msingi Bukindo iliyoko wilayani humo ikiwa ni sehemu ya mpango wake wa kuendeleza elimu hapa nchini.

Posted by MROKI On Sunday, April 18, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo