Nafasi Ya Matangazo

April 30, 2010

Miss Tanzania Miriam Gerald akiwa na baba yake mzazi Gerald Bomani siku moja baada ya kutwaa taji la Miss Tanzania 2009.
Gerald alifariki dunia kwa ajali ya gari, iliyotokana na basi alilokuwa amepanda la Robin Top Line Express kugongana na lori katika eneo la Tukamahela, Kilimatinde, Manyoni Mashariki, Singida na kuua watu watatu.
Nilimfahamu Gerald na alikuwa jamaayangu Mungu ailaze roho yake mahali pema Amina.
Pole nyingi sana kwa wanafamilia wote kwa msiba huu.
Bwana alitoa na bwana ametwaa.
Posted by MROKI On Friday, April 30, 2010 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo