Gerald alifariki dunia kwa ajali ya gari, iliyotokana na basi alilokuwa amepanda la Robin Top Line Express kugongana na lori katika eneo la Tukamahela, Kilimatinde, Manyoni Mashariki, Singida na kuua watu watatu.
Nilimfahamu Gerald na alikuwa jamaayangu Mungu ailaze roho yake mahali pema Amina.
Pole nyingi sana kwa wanafamilia wote kwa msiba huu.
Bwana alitoa na bwana ametwaa.
Bwana alitoa na bwana ametwaa.




pole sana binti
ReplyDelete