Nafasi Ya Matangazo

May 01, 2010

Uhuru Publications nao walikuwepo kuandamana..
wafanyakazi wakiimba wimbo wao wa Mashikamano
Viongozi wa TUCTA wakiimba wimbo wa wafanyakazi
Habari ndo hiyo..
wafanyakazi wakiandamana katika siku ya Wafanyakazi Duniani
Mabango yaliyo na jumbe mbalimbali yalibebwa
Muhimbili nao walishiriki kikamilifu.
Daily News na HABARILEO hawakuwa mbali nao...
Walitoa ujumbe wao katika bango
Watumishi mbalimbali wakiwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo katika sherejhe za Mei Mosi ambazo Mgeni Rais Alikuwa Rais wa TUCTA.
Watu walikuwa wangi...japo nasikia walio itii serikali walikuwa Mnazi Mmoja nao wakishiriki kwa uopande wao.

Posted by MROKI On Saturday, May 01, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Eee Bwana Mroki ee, kwenye hiyo picha yenye kichwa cha habari
    "Uhuru Publications nao walikuwepo kuandamana.."
    naweza kupata kontakts za huyo dada mwenye SKETI NYEUPE mtu wangu?

    Ntakupoza mwana.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo