Nafasi Ya Matangazo

April 22, 2010

Meneja Mkazi wa Samsong Tanzania na Uganda, Simon Kaeiithi akizungumza na waadishi wa habari Dar es Salaam leo juu ya kuanza kwa huduma ya e-waranty ambapo mteja wa simu za samsong atatuma ujumbe mfupi ulion anamba ya IMEI ili kutambua ubora wa simu hiyo na iwapo simu hiyo ni ya wizi au iliibiwa. Kulia ni Meneja Mkuu wa Samsong Kamda ya Afrika Mashariki na Kati, aneshughulika na Simu Patricia King'ori Meneja Mkuu wa Samsong Kamda ya Afrika Mashariki na Kati, aneshughulika na Simu Patricia King'ori akifafanua jambo juu ya huduma hiyo ya IMEI.
Mmoja wa wafanyakazi wa Samsong Tanzania akiwaelimisha waanmdishi wa habari juu ya huduma hiyo ya e-warranty ilianza jana Dar es Salaam.
Mwandishi wa Habari za Biashra wa Daily News Austine Beyadi akiuliza swali katika mkutano huo leo.
JINSI YA KUISAJILI SIMU YAKO KWENYE E-WARRANTI
Jinsi ya kuisajili simu yako kwenye E-Warranti,fuata maelekezo yafuatayo:-

*Tuma ujumbe mfupi wa maneno ufuatao Reg*NAMBARI YA IMEI #Kwenda namba -15685

Ikiwa umefanikiwa utapata ujumbe wa uhakiki usemaoHakikisha uhalisia wa simu yako ya Samsung kabla ya kununua.

Kuhakiki kuwa simu ya Samsung unayotaka kununa kuwa ni halisi au imefanyiwa marekebisho kabla ya kuinunua
Tuma ujumbe mfupi usemao check*IMEI NUMBER #kwenda 15685
Jibu litakuwa kati ya yafuatayo.
-Uhakiki wa nambari ya IMEI umekamilika Simu hii ni simu halisi ya Samsung-Hii inamaanisha kuwa simu halisi ina dhamana ya miezi kumi na mbili
-Uhakiki wa nambari ya IMEI umekamilika,Simu ilikwisha andikishwa-Hii inamaanisha kuwa simu imekwisha tumika na sio mpya
-Uhakiki wa nambari ya IMEI umekamilika.
Simu imeripotiwa kuibiwa-Hii inamaanisha simu hiyo imeibwa.USIINUNUE
-Nambari ya IMEI haitambuliki au simu sio halisi-Hii inamaanisha kuwa simu haina dhamana ya miezi kumi na mbili.

Posted by MROKI On Thursday, April 22, 2010 2 comments

2 comments:

  1. How will I know my Samsung phone IMEI Number? I'm asked to sms my Date of birth, does it include date, month and Year? please let them try to be explicit enough.

    ReplyDelete
  2. Mdau hapo juu uliyeuliza IMEI number yako, fungua nyuma kunako betri ya simu yako itoe hapo utoaona IMEI yako.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo