JINSI YA KUISAJILI SIMU YAKO KWENYE E-WARRANTI
Jinsi ya kuisajili simu yako kwenye E-Warranti,fuata maelekezo yafuatayo:-
Jinsi ya kuisajili simu yako kwenye E-Warranti,fuata maelekezo yafuatayo:-
*Tuma ujumbe mfupi wa maneno ufuatao Reg*NAMBARI YA IMEI #Kwenda namba -15685
Ikiwa umefanikiwa utapata ujumbe wa uhakiki usemaoHakikisha uhalisia wa simu yako ya Samsung kabla ya kununua.
Kuhakiki kuwa simu ya Samsung unayotaka kununa kuwa ni halisi au imefanyiwa marekebisho kabla ya kuinunua
Tuma ujumbe mfupi usemao check*IMEI NUMBER #kwenda 15685
Jibu litakuwa kati ya yafuatayo.
Jibu litakuwa kati ya yafuatayo.
-Uhakiki wa nambari ya IMEI umekamilika Simu hii ni simu halisi ya Samsung-Hii inamaanisha kuwa simu halisi ina dhamana ya miezi kumi na mbili
-Uhakiki wa nambari ya IMEI umekamilika,Simu ilikwisha andikishwa-Hii inamaanisha kuwa simu imekwisha tumika na sio mpya
-Uhakiki wa nambari ya IMEI umekamilika.
Simu imeripotiwa kuibiwa-Hii inamaanisha simu hiyo imeibwa.USIINUNUE
-Nambari ya IMEI haitambuliki au simu sio halisi-Hii inamaanisha kuwa simu haina dhamana ya miezi kumi na mbili.




How will I know my Samsung phone IMEI Number? I'm asked to sms my Date of birth, does it include date, month and Year? please let them try to be explicit enough.
ReplyDeleteMdau hapo juu uliyeuliza IMEI number yako, fungua nyuma kunako betri ya simu yako itoe hapo utoaona IMEI yako.
ReplyDelete