Mtaalam wa mifugo katika jiji la Mwanza Elirehema Moses Kaaya akisistiza jambo wakati wa mkutano wake na waandishi wa habari jana wilayani Arumeru wakati akitangaza nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Arumer Mashariki ambalo mbunge wake ni Naibu Waziri wa Fedha na Uchumi Jeremiah Sumari.
Kaaya ni mgombea wa kwanza katika jimbo hilo kutangaza nia ya kutaka kushiriki uchaguzi wa mwaka huu kupambana na Naibu Waziri huyo wa Fedha ambaye katika kipindi kifupi ameonyesha kuwa mwanasiasa mahiri katika mkoa wa Arusha.






0 comments:
Post a Comment