Nafasi Ya Matangazo

March 17, 2010

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo ametia saini Sheria ya Matumizi ya fedha katika Uchaguzi mkuu.

Pichani ni Rai Kikwete akisanini sheria hiyo katika viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo asubuhi huku viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini wakishuhudia.
Posted by MROKI On Wednesday, March 17, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo